Timu ya taifa ya Rwanda ya mpira wa kikapu  wanawake walio chini ya miaka 18, imeanza vizuri imeibugiza Afrika ya Kusini kwa alama 102 kwa 37.

Share Now

Timu ya taifa ya Rwanda ya mpira wa kikapu wanaume na wanawake ziko jijini Pretoria, Afrika ya Kusini kushiriki fainali za Kombe la Afrika AFROBASKET.

Kocha  Jacques Bahige kabla ya kuondoka Kigali mwishoni ma juma tarehe 06 Agosti 2024, alisema wanakwenda kutafuta angalau nafasi nne bora barani Afrika.

Timu ya taifa ya Rwanda ya mpira wa kikapu  wanawake walio chini ya miaka 18, imeanza vizuri imeibugiza Afrika ya Kusini kwa alama 102 kwa 37.

Mechi ya ufunguzi rasmi Timu ya Rwanda imeichapa  Afrika ya kusini kwa alama 102-37, Q1: 5-25, Q2: 12-22, Q3: 12-29, Q4: 8-2Ukanda wa Afrika ya Mashariki inawakilisha na Rwanda pamoja na Uganda katika kinyang’anyiro hicho cha kusaka wawakilishi wa kombe la dunia la Mpira wa kikapu  “FIBA U19 Basketball World Cup’’ itakayaofanyika Lausanne , Usuis Juni 2025.Rwanda,

Upande wa wanaume,Rwanda imejikuta ikiwa kwenye kundi la 3 pamoja na Afrika ya Afrika ya Kusini, Morocco na Zambia.  Kundi B, kuna timu ya Misri, Angola, Uganda na Nigeria wakati kundi la A kuna Mali, Cameroon, Cote d’Ivoire na Senegal.

Aidha, Kwa upande wa wanawake, Rwanda ipo kwenye kundi A pamoja na Afrika ya Kusini, Tunisia na Cameroon .

Timu ya Rwanda wanawake walio chini ya miaka 18 imeanza vizuri imeibugiza Afrika ya Kusini kwa alama 102 kwa 37

Wakati kundi  B zikiwemo Mali, Moroc, Zambia na Angola Hatimaye  kundi A zipo Misri, Zimbabwe, Uganda na Nigeria.

Wafungaji bora walikuwa ni hawa wafuatao:

  • Brigitte Nibishaka 🇷🇼 25 pts| 16 REB [double double]
  • Vanessa Prissy Camara 🇷🇼 22 pts
  • Yvonne Muhawenimana 19 pts
  • Vestine Tuyisenge 17 pts

Jumatatu, Septembe 2

Kindi A

Tunisia Vs Cameroun 1pm

Rwanda Vs South Africa 3:30 pm

Kundi C

Egypt Vs Nigeria 6pm

Zimbabwe Vs Uganda 8:30pm

Christopher Karenzi


Share Now

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *