Timu ya soka ya APR imetawazwa mabingwa wa kombe la Amani (FERWAFA Peace Cup) jana jioni baada ya kuwabwaga wapinzani wao Rayon sports mabao 2-0 katika uwanja wa taifa wa Amahoro, jijini Kigali.
Fainali hii ya dabi ya Milima elfu moja ilikuwa ikisubiriwa na wengi mno kujua nani bingwa wa mwaka huu. Mshindi
Read more