{"id":6083,"date":"2026-08-03T16:04:04","date_gmt":"2026-08-03T16:04:04","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=6083"},"modified":"2026-08-03T16:04:06","modified_gmt":"2026-08-03T16:04:06","slug":"drc-vuguvugu-la-joseph-kabila-laweka-masharti-yake-kwa-ajili-ya-mazungumzo-ya-kitaifa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2026\/08\/03\/drc-vuguvugu-la-joseph-kabila-laweka-masharti-yake-kwa-ajili-ya-mazungumzo-ya-kitaifa\/","title":{"rendered":"DRC: Vuguvugu la Joseph Kabila laweka masharti yake kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa"},"content":{"rendered":"\n<p>Vuguvugu la &#8220;Sauvons la RDC&#8221;, lililoanzishwa na rais wa zamani Joseph Kabila,li imejibu tangazo la uwezekano wa mazungumzo ya kitaifa. Katika taarifa iliyochapishwa siku ya Jumamosi, limebainisha kuunga mkono kanuni ya mazungumzo lakini likaweka masharti saba ili kuhakikisha uaminifu wake. Jukwaa hilo pia limempinga Rais F\u00e9lix Tshisekedi kama mdhamini wa mazungumzo hayo.<strong><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Kulingana na RFI, Vuguvugu la &#8220;Sauvons la RDC&#8221; linasema mazungumzo yanasalia kuwa njia bora ya kutoka katika mgogoro wa kisiasa, usalama, na kitaasisi unaoikumba nchi. Hata hivyo, vuguvugu hilo linabaini kwamba mchakato kama huo unaweza kufanikiwa tu chini ya hali fulani. Inahitaji upatanishi usioegemea upande wowote na huru, kwa usaidizi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa (<a href=\"https:\/\/www.rfi.fr\/sw\/lebo\/un\/\">UN<\/a>).<\/p>\n\n\n\n<p>Jukwaa hili la upinzani pia linataka mazungumzo hayo yafanyike katika nchi ya tatu ili kuhakikisha, kwa maoni yake, usalama na ushiriki wa pande zote. Ombi hili linapingana na msimamo wa Rais F\u00e9lix Tshisekedi, ambaye anapendelea mazungumzo hayo kufanyika katika ardhi ya Kongo.<\/p>\n\n\n\n<p>Madai hayo yanakuja wakati&nbsp;<a href=\"https:\/\/www.rfi.fr\/sw\/lebo\/joseph-kabila\/\">Joseph Kabila<\/a>, mwanzilishi wa vuguvugu hilo, akihukumiwa na mahakama ya kijeshi.<\/p>\n\n\n\n<p>&#8220;Sauvons la RDC&#8221; inadai zaidi hatua za kupunguza mvutano, ikiwa ni pamoja na kuachiliwa huru kwa wafungwa wa kisiasa, kurejea kwa wakimbizi, kuondolewa kwa vikwazo kwa baadhi ya pande, na kufutwa kwa wanamgambo wa &#8220;Nguvu ya Maendeleo&#8221;. Vuguvugu hilo linabainisha kwamba mazungumzo yaliyowekwa chini ya mamlaka ya F\u00e9lix Tshisekedi hayawezi kuaminika, kwani rais, kwa maoni yake, ndiye &#8220;mhusika mkuu&#8221; wa mgogoro na hawezi kutenda kama msuluhishi na mdhamini kwa wakati mmoja.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Vuguvugu la &#8220;Sauvons la RDC&#8221;, lililoanzishwa na rais wa zamani Joseph Kabila,li imejibu tangazo la uwezekano wa mazungumzo ya kitaifa.<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":6084,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-6083","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-uncategorized"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6083","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=6083"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6083\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":6085,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6083\/revisions\/6085"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/6084"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=6083"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=6083"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=6083"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}