{"id":5935,"date":"2026-05-05T17:28:00","date_gmt":"2026-05-05T17:28:00","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=5935"},"modified":"2026-05-05T17:29:41","modified_gmt":"2026-05-05T17:29:41","slug":"soka-uwanja-wa-wilaya-ya-gicumbi-wawekewa-nyasi-bandia","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2026\/05\/05\/soka-uwanja-wa-wilaya-ya-gicumbi-wawekewa-nyasi-bandia\/","title":{"rendered":"Soka: Uwanja wa Wilaya ya \u00a0Gicumbi\u00a0 wawekewa nyasi bandia"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Na Christopher Karenzi<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p><strong>chriskarenzi@gmail.com<\/strong><strong><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Uwanja wa mpira wa miguu wa Wilaya ya &nbsp;Gicumbi umewekewa nyasi bandia (tapis synth\u00e9tique) mpya na unatarajiwa kuwekewa taa za mwanga zitakazouwezesha kutumika kwa michezo ya usiku, kama ilivyothibitishwa na Meya wa Wilaya ya Gicumbi.<\/p>\n\n\n\n<p>Uwanja wa Gicumbi ni miongoni mwa viwanja vitatu vilivyateuliwa kupokea ufadhili wa uwekaji wa nyasi bandia kupitia ushirikiano kati ya FIFA na FERWAFA, chini ya mpango wa \u201cFIFA Forward Project\u201d ukiwa na &nbsp;lengo la kuendeleza vipaji vya soka.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa mujibu wa gazeti la InyaRwanda, kuna mipango ya kuuboresha uwanja huo ili uweze kuchukua zaidi ya watazamaji 4,000 wakiwa wamekaa sehemu yenye paa, pamoja na zaidi ya watu 6,000 watakaokaa katika maeneo yasiyo na paa.<\/p>\n\n\n\n<p>Kazi za uwekaji wa nyasi hizo zilianza Jumamosi, tarehe 2 Mei 2026, na kwa sasa zimefikia hatua nzuri.  Kampuni inayotekeleza mradi huo ilikuwa imepanga kumaliza kazi ifikapo tarehe 9 Mei, lakini kasi ya kazi imeathiriwa na mvua.<\/p>\n\n\n\n<p>Meya wa Wilaya ya Gicumbi, Nzabonimpa Emmanuel, amesema kuwa uwanja huo utasaidia kuvutia watalii katika wilaya hiyo, kuboresha miundombinu na biashara, kuinua kiwango cha timu ya Gicumbi, pamoja na kuendeleza vipaji vya vijana wanaopenda kucheza mpira wa miguu. Uwanja wa Gicumbi umewekewa nyasi bandia mpya na unatarajiwa pia kuwekewa taa za kisasa zitakazouwezesha kutumika kwa michezo ya usiku.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"891\" height=\"762\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-4.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5937\" style=\"aspect-ratio:1.169305724725944;width:1055px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-4.jpg 891w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-4-300x257.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-4-768x657.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 891px) 100vw, 891px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>                                                                                                                    Meya wa Wilaya ya Gicumbi, Nzabonimpa Emmanuel (kulia)<\/p>\n\n\n\n<p>Bwana Nzabonimpa, amesema kuwa mradi huu utaleta manufaa makubwa, ikiwemo kuvutia watalii watakaotembelea wilaya hiyo, kukuza miundombinu na biashara, kuinua kiwango cha timu ya Gicumbi, pamoja na kuendeleza vipaji vya vijana wanaopenda mpira wa miguu.<\/p>\n\n\n\n<p>Amehakikishia kuwa ndani ya siku 15, kazi ya uwekaji wa nyasi bandia itakuwa imekamilika. Amesema:\u201cHatua ya kuweka nyasi bandia imeanza, na kampuni inayotekeleza mradi imetwambia kuwa ndani ya wiki mbili itakuwa imekamilika, kisha tutaendelea na kazi nyingine ikiwemo ujenzi wa miundombinu mingine.\u201d<\/p>\n\n\n\n<p>Meya huyo ameongeza kuwa walipofanyiwa ziara na Waziri wa Michezo, Nelly Mukazayire, walipewa ahadi kwamba uwanja huo utawekewa taa za kisasa. Pia alibainisha kuwa tayari Wilaya ya Gicumbi imeanza maandalizi ya kuwezesha uwekaji wa taa hizo.&nbsp; Amesema: \u201cWaziri wa Michezo alitwiahidi kuwa uwanja wetu utawekewa taa zitakazouwezesha kutumika hata usiku, na tunaamini kuwa kwa hatua tulizopiga, hilo litatimia.\u201d<\/p>\n\n\n\n<p>Miongoni mwa maboresho mengine yanayoendelea ni pamoja na kujenga njia ya kuzunguka uwanja kwa ajili ya michezo ya riadha, kujenga vyoo vya kisasa, na kuboresha miundombinu ya barabara zinazoelekea uwanjani, ambazo tayari zimeanza kujengwa.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"767\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gic-3-1024x767.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5938\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gic-3-1024x767.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gic-3-300x225.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gic-3-768x575.jpg 768w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gic-3.jpg 1080w\" sizes=\"auto, (max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Kulingana na InyaRwanda, juhudi zinaendelea kuhakikisha uwanja huo unakuwa na uwezo wa kuhudumia idadi kubwa ya watazamaji kwa viwango bora vya kisasa.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuhusu manufaa kwa wakazi wa Gicumbi, uwanja huo uliwahi kuharibika wakati wa shughuli za kampeni za kisiasa, ambapo majukwaa ya kukalia yalibomoka. Hata hivyo, kwa ushirikiano kati ya Wilaya ya Gicumbi na FPR, majengo mapya yamejengwa na hata kuboreshwa zaidi kuliko yaliyokuwepo awali.<\/p>\n\n\n\n<p>Iwapo hakutakuwa na mabadiliko, uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Gicumbi unatarajiwa kufanyika Julai 2026, ambapo pia kutachezwa mechi ya kirafiki itakayowakutanisha wachezaji wa zamani wa Gicumbi na wale wa Musanze.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"767\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-2-1024x767.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5939\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-2-1024x767.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-2-300x225.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-2-768x575.jpg 768w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/gicumbi-2.jpg 1080w\" sizes=\"auto, (max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Na Christopher Karenzi chriskarenzi@gmail.com Uwanja wa mpira wa miguu wa Wilaya ya &nbsp;Gicumbi umewekewa nyasi bandia (tapis synth\u00e9tique) mpya na<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":5936,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[9],"tags":[],"class_list":["post-5935","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imikino"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5935","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5935"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5935\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5941,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5935\/revisions\/5941"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5936"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5935"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5935"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5935"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}