{"id":5800,"date":"2026-03-17T19:37:44","date_gmt":"2026-03-17T19:37:44","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=5800"},"modified":"2026-03-17T21:18:24","modified_gmt":"2026-03-17T21:18:24","slug":"waziri-nduhungirehe-wanajeshi-hawawezi-kuendelea-kufanya-kazi-huku-wakiwekewa-vikwazo-na-shinikizo-la-mara-kwa-mara","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2026\/03\/17\/waziri-nduhungirehe-wanajeshi-hawawezi-kuendelea-kufanya-kazi-huku-wakiwekewa-vikwazo-na-shinikizo-la-mara-kwa-mara\/","title":{"rendered":"Waziri Nduhungirehe: Wanajeshi hawawezi kuendelea kufanya kazi huku wakiwekewa vikwazo na shinikizo la mara kwa mara."},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Christopher Karenzi<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Kufuatia vikwazo vilivyowekwa na&nbsp;Marekani&nbsp;dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na majenerali wanne mwanzoni mwa mwezi huu, vikiwashutumu kwa kusaidia kundi la waasi la&nbsp;M23&nbsp;katika vita vinavyoendelea mashariki mwa&nbsp;Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuna wasiwasi kuhusu iwapo RDF&nbsp; pamoja na washirika wake, &nbsp;wataweza kuendelea na baadhi ya shughuli za kurejesha usalama nchini Mozambique kutokana na vizuizi vinavyotokana na vikwazo hivyo vilivyowekwa na Wizara ya Fedha ya Marekani.<\/p>\n\n\n\n<p>Olivier Nduhungirehe amesema kuwa majeshi ya Rwanda hayawezi kuendelea kutekeleza jukumu lao huku yakikosolewa kila siku na kuwekewa vikwazo.<\/p>\n\n\n\n<p>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Nduhungirehe, alieleza kuwa iwapo msaada uliokuwa unatolewa na Umoja wa Ulaya katika operesheni za kupambana na ugaidi nchini Msumbiji utasitishwa, basi majeshi ya Rwanda yaliyoko katika nchi hiyo yataondoka mara moja, na nafasi yao ichukuliwe na majeshi kutoka nchi nyingine.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"294\" height=\"171\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/03\/olivier-poa.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5803\" style=\"width:1055px;height:auto\"\/><\/figure>\n\n\n\n<p>Waziri Nduhungirehe, ameonya kuwa Rwanda \u201citaondoa wanajeshi wake\u201d katika operesheni ya kupambana na ugaidi katika jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji amebaini kuwa &nbsp;shughuli za kiuchumi zimerejea eneo hilo. Amesema: <strong>\u201cTumefanya kazi kubwa kiasi kwamba raia wamerudi majumbani mwao, wanafunzi wamerudi shuleni, shughuli za kiuchumi zimeanza tena, uwekezaji mkubwa katika sekta ya gesi umeanza upya, na kampuni zimeanza kufanya kazi tena. Haya yote yamewezekana kupitia ushirikiano kati ya majeshi ya Rwanda na yale ya Msumbiji.\u201d<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Waziri Nduhungirehe amebaini kuwa jumuiya ya kimataifa inaendelea kuyawekea majeshi yaliyo katika operesheni hiyo chini ya shinikizo, hali ambayo anasema inaweza kukwamisha juhudi za kurejesha amani na usalama: <strong>\u201cTunakumbusha kwamba&nbsp;Rwanda&nbsp;pia imetoa mchango mkubwa, ikitoa fedha nyingi zaidi ya mara kumi ya zile tunazopokea kutoka&nbsp;Umoja wa Ulaya&nbsp;na pia tumepoteza wanajeshi wetu waliouawa vitani ili kuleta utulivu katika eneo hilo.&nbsp;Kwa hiyo, wanajeshi hao hawawezi kuendelea kufanya kazi hiyo huku wakikosolewa kila mara, kuwekewa vikwazo na shinikizo la mara kwa mara.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p><strong>Kwa upande wetu, ushirikiano kati ya&nbsp;Msumbiji&nbsp;na Rwanda unaendelea. Ni wazi kuwa ushirikiano huo unaweza kuathiriwa na mwenendo wa nchi zinazotuwekea vikwazo.\u201d<\/strong><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"610\" height=\"407\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/03\/ingabo.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5804\" style=\"width:1055px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/03\/ingabo.jpg 610w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/03\/ingabo-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 610px) 100vw, 610px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Wataalamu wa&nbsp;Umoja wa Mataifa, pamoja na DRC na nchi za Magharibi, wanaishutumu Rwanda kwa kusaidia kundi la M23 linalopambana na serikali ya DRC, kwa kulipatia wanajeshi, vifaa na msaada wa kimkakati<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha,Serikali ya&nbsp;Rwanda&nbsp;inakanusha kuisaidia kundi la M23, ikisema kuwa imechukua \u201chatua za kujilinda\u201d.&nbsp;&nbsp;Kufuatia vikwazo vya&nbsp;Marekani&nbsp;vya mwezi huu, Rais wa Rwanda,&nbsp;Paul Kagame, aliwaambia wanadiplomasia mjini Kigali&nbsp; kuwa, kutokana na historia ya Rwanda &nbsp;na mahali ilipo, bado inahitaji mipaka ya ulinzi ili kufikia lengo hilo pekee.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Christopher Karenzi Kufuatia vikwazo vilivyowekwa na&nbsp;Marekani&nbsp;dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na majenerali wanne mwanzoni mwa mwezi huu,<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":5801,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[4],"tags":[],"class_list":["post-5800","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-politiki"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5800","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5800"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5800\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5805,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5800\/revisions\/5805"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5801"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5800"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5800"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5800"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}