{"id":5684,"date":"2026-02-02T17:28:10","date_gmt":"2026-02-02T17:28:10","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=5684"},"modified":"2026-02-02T17:28:11","modified_gmt":"2026-02-02T17:28:11","slug":"misri-yatawazwa-mabingwa-wa-handiboli-afrika-2026","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2026\/02\/02\/misri-yatawazwa-mabingwa-wa-handiboli-afrika-2026\/","title":{"rendered":"Misri yatawazwa Mabingwa wa handiboli Afrika \u00a02026"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Christopher Karenzi<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Mashindano ya 27 ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya Mpira wa Mikono kwa Wanaume&nbsp; 2026, yamehitimishwa rasmi, jijini Kigali yakishuhudia Misri ikitawazwa mabingwa wa Afrika kwa mara ya 10, baada ya mashindano makali na yenye ushindani mkubwa yaliyozikutanisha timu bora zaidi za mpira wa mikono barani Afrika.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwenye mchuano&nbsp; wa fainali ya mpira wa mikono (Handball), Misri imetwaa taji la bara la Afrika&nbsp; kwa ushindi mnono wa magoli&nbsp; 37 kwa 24 dhidi ya wapinzani wao wa Afrika Kaskazini<strong>,<\/strong> Tunisia, waliomaliza nafasi ya pili.<\/p>\n\n\n\n<p>Kocha mkuu wa Misri Xavi Pascual amesema mpango wake kabla ya kusafiri nchini Ujerumani kwenye fainali ya kombe la dunia, watacheza mechi za kirafiki. \u2018<em>\u2019<\/em>Ninaamini kuwa timu yangu ilicheza vizuri sana na ilistahili ushindi. Maandalizi na upangaji wa mashindano yalifanyika kwa kiwango kizuri sana. Kwa ujumla, tumeridhika mno\u2019\u2019.<\/p>\n\n\n\n<p>Kulikuwa na takribani timu tatu au nne zilizoonyesha kiwango kizuri. Miongoni mwao ni Tunisia, Algeria na Angola. Kwa upande wangu,Gabon, Nigeria zilinipa mshangao mkubwa kwa kucheza vizuri sana.Tuna malengo muhimu sana mbele yetu. Tutacheza dhidi ya Malta na pia tutacheza mechi mbili dhidi ya Ujerumani \u2019\u2019 Xavi amesema.<\/p>\n\n\n\n<p>Cape Verde ilitwaa nafasi ya tatu baada ya kuibwaga Algeria kwa magoli 29\u201323.<\/p>\n\n\n\n<p>Rais wa Shirikisho la &nbsp;mpira wa mikono Handiboli nchini Rwanda &nbsp;Alfred Twahirwa , amesema kwamba kwa jumla mashindano yamefanyika vizuri na wana mpango wa kuanzia mchezo huu kuanzia ngazi za chini akimaanisha kwa &nbsp;watoto na vijana chipukizi hadi juu .<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha &nbsp;Bwana Twahirwa ameongeza kuwa wana mpango wa&nbsp; kutoa warsha kwa walimu na kuinua mchezo huu ili miaka ijayo, timu za Rwanda na ukanda huu wa Afrika ya mashariki wafike kwenye kiwango cha juu kwa miaka ijayo.<\/p>\n\n\n\n<p>Gabon ilihitimisha mashindano yake kwa mafanikio kwa kushinda Kombe la Rais (President\u2019s Cup) kwa kuifunga Cameroon 29\u201327, na hivyo kumaliza nafasi ya 9 katika msimamo wa jumla,<\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya taifa ya Cameroon ilimaliza kwenye nafasi ya 10 kwa jumla baada ya kuchapwa na Gabon.<\/p>\n\n\n\n<p>Utajiuliza kombe la Rais lina maana gani katika michuano hii?<\/p>\n\n\n\n<p>Tabeth Njantou ni Kocha mkuu wa Cameroon&nbsp; anaeleza&nbsp; faida ya kuibuka mshindi wa kumbe la Rais. \u2018\u2019<em>Kombe la Rais lina jukumu muhimu<\/em><em>, kwani linasaidia timu kuendelea kukua na kuboresha kiwango chao barani Afrika, kwa matumaini ya kujipatia nafasi katika kundi lenye ushindani unaofaa zaidi katika toleo la mashindano ya mwaka 2028<\/em><em>\u2019\u2019<\/em><strong><em>.<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Rwanda ilikuwa ikiwania nafasi ya 11<strong>,<\/strong> lakini ilimaliza mashindano katika nafasi ya 12 baada ya kupoteza dhidi ya Congo Brazzaville kwa mabao 30\u201328<strong>, <\/strong>katika mechi iliyochezwa siku ya Ijumaa<strong>.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya Benin ilimaliza katika nafasi ya 13 baada ya kuishinda Zambia, huku Kenya ikimaliza katika nafasi ya 15 baada ya kuifunga Uganda<strong>,<\/strong> ambayo ilimaliza mashindano katika nafasi ya mwisho ya 16.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-01-1.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5686\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-01-1.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-01-1-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-01-1-768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Katika mechi ya kuwania nafasi ya tatu, timu ya Cape Verde ilionesha kiwango bora baada ya kuifunga Algeria kwa mabao 29\u201323.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya Angola ilimaliza mashindano katika nafasi ya tano baada ya kuishinda Nigeria kwa mabao 25\u201320, huku Morocco ikishika nafasi ya saba baada ya kuifunga Guinea kwa mikwaju ya penalti 5\u20134, kufuatia sare ya mabao 33\u201333 katika muda wa kawaida wa mchezo.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika kundi la timu zinazowania kombela Rais (President Cup<strong>)<\/strong> ,timu zilizoshika nafasi ya tisa hadi 16, timu ya Gabon iliibuka bingwa baada ya kuifunga Cameroon katika fainali.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya Rwanda, mwenyeji&nbsp; ambayo haikufanikiwa kuvuka hatua ya makundi, ilishiriki katika kundi na kumaliza mashindano katika nafasi ya 12.<\/p>\n\n\n\n<p>Rwanda ilikuwa ikiwania nafasi ya 11, lakini ilipoteza dhidi ya Congo Brazzaville kwa mabao 30\u201328 katika mechi iliyochezwa siku ya Ijumaa.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa upande mwingine, Benin ilimaliza katika nafasi ya 13 baada ya kuishinda Zambia, huku Kenya ikimaliza katika nafasi ya 15 baada ya kuifunga Uganda, ambayo ilimaliza mashindano katika nafasi ya mwisho ya 16.<\/p>\n\n\n\n<p>Ntabanganyimana Antoine ni kocha mkuu wa Police Handball Club &nbsp;akiongea na Brightafrica, amesema kuwa amejifunza mengi &nbsp;katika mashindano haya.<\/p>\n\n\n\n<p>\u2018\u2019 Niliona timu kubwa, nimejifunza mengi inabidi tuweke kwa vitendo tuliyojifunza &nbsp;kwa kipindi hiki nimejifunza kabisa\u2019\u2019.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-3.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5687\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-3.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-3-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-3-768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>&nbsp;Aidha Mashindano yajayo ya Kombe la Dunia la mchezo wa Handball yanatarajiwa kufanyika nchini Ujerumani mwaka 2027, hatua inayotarajiwa kukuza zaidi mchezo huo barani Ulaya na duniani kwa ujumla.<\/p>\n\n\n\n<p>&nbsp;<strong>Msimamo wa Mashindano:<\/strong><\/p>\n\n\n\n<ol class=\"wp-block-list\">\n<li>Misri \u2013 Mabingwa<\/li>\n\n\n\n<li>Tunisia \u2013 Washindi wa Medali ya Fedha<\/li>\n\n\n\n<li>Cape Verde \u2013 Washindi wa Medali ya Shaba<\/li>\n\n\n\n<li>Algeria<\/li>\n\n\n\n<li>Angola<\/li>\n\n\n\n<li>Nigeria<\/li>\n\n\n\n<li>Morocco<\/li>\n\n\n\n<li>Guinea<\/li>\n\n\n\n<li>Gabon \u2013 (Washindi wa Kombe la Rais)<\/li>\n\n\n\n<li>Cameroon<\/li>\n\n\n\n<li>Congo<\/li>\n\n\n\n<li>Rwanda<\/li>\n\n\n\n<li>Benin<\/li>\n\n\n\n<li>Zambia<\/li>\n\n\n\n<li>Kenya<\/li>\n\n\n\n<li>Uganda<\/li>\n<\/ol>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-4.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5688\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-4.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-4-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-4-768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"668\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-2.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5689\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-2.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-2-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2026\/02\/misri-2-768x513.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Team Rwanda<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Christopher Karenzi Mashindano ya 27 ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya Mpira wa Mikono kwa Wanaume&nbsp; 2026, yamehitimishwa rasmi,<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":5685,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[9],"tags":[],"class_list":["post-5684","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imikino"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5684"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5691,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684\/revisions\/5691"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5685"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5684"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5684"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5684"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}