{"id":5515,"date":"2025-11-10T14:44:22","date_gmt":"2025-11-10T14:44:22","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=5515"},"modified":"2025-11-10T14:47:55","modified_gmt":"2025-11-10T14:47:55","slug":"al-hilal-sc-omdurman-ya-sudan-yashuka-dimbani-uwanja-wa-pele-kumenyana-na-as-kigali","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2025\/11\/10\/al-hilal-sc-omdurman-ya-sudan-yashuka-dimbani-uwanja-wa-pele-kumenyana-na-as-kigali\/","title":{"rendered":"Al Hilal SC Omdurman ya Sudan yashuka dimbani\u00a0 uwanja wa Pele kumenyana na AS Kigali"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Na Christopher Karenzi<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Dunia ya soka mashariki mwa Afrika inashuhudia sura mpya katika Ligi kuu ya Rwanda (Rwanda Premier League &nbsp;RPL), baada ya klabu mbili kongwe kutoka Sudan,&nbsp;Al Hilal SC Omdurman&nbsp;na&nbsp;Al Merrikh SC, kuthibitisha ushiriki wao rasmi&nbsp;na Shirikisho la soka la Rwanda&nbsp; &nbsp;FERWAFA&nbsp;katika ligi hiyo.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya Al Hilal SC Omdurman&nbsp;ina miadi na AS Kigali &nbsp;jumatatu hii katika Ligi Kuu ya Rwanda (Rwanda Premier League&nbsp; RPL),ikiwa ni mechi yake ya kwanza baada ya kuthibitishwa na Shirikisho la soka la Rwanda&nbsp; &nbsp;FERWAFA.<\/p>\n\n\n\n<p>Rais wa timu hiyo, Yasir Hassan Ibrahim, amelishukuru shirikisho la FERWAFA kwa kuwapa fursa ya kushiriki &nbsp;kwenye ligi ya Rwanda, amesema .<\/p>\n\n\n\n<p>&nbsp;<em>\u2018\u2019&nbsp; Kwa niaba ya Bodi ya wakurugenz nashukuru Shirikisho la soka la FERWAFA kwa kutuunga mkono na kukubali ujio wetu wa kushriki ligi ya Rwanda. Hapa tunajisikia kama tuko nyumbani&#8221;.<\/em><\/p>\n\n\n\n<p><em>&nbsp;\u2018\u2019 Sisi tupo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika (CAF Champions League), na tunaamini ligi hii itatusaidia katika maandalizi yetu<\/em>. Ibrahimameongeza<\/p>\n\n\n\n<p>Wakati huo huo,&nbsp;timu nyingine kutoka Sudan Al Merrikh SC tayari imewasili mjini Kigali, imeanza maandalizi ya kushiriki katika Ligi Kuu ya Rwanda. Kocha mkuu Darko Novic, kocha aliyewahi kuinoa&nbsp;APR FC, mabingwa watetezi wa ligi hiyo msimu uliopita alikuwa na haya ya.Kocha Darco&nbsp;amesema<strong> &nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p><em>Ligi ya Rwanda ni ngumu sana, si jambo rahisi kucheza hapa. Hakuna tofauti &nbsp;kucheza na timu ndogo au kubwa, kwa sababu kila timu inaweza kuishinda nyingine wakati wowote<\/em>\u2019\u2019.<\/p>\n\n\n\n<p>&nbsp;Al Merrikh itaanza mechi zake kwenye&nbsp;mzunguko wa 8 wa ligi, baada ya kukamilisha usajili na taratibu zote za Shirikisho la Soka la Rwanda (Ferwafa).<\/p>\n\n\n\n<p>Kwenye michuano ya &nbsp;Ligi ya Klabu bingwa Afrika, Al Hilal SC&nbsp;kwenye Kundi C itacheza mechi zake za nyumbani mjini&nbsp;Kigali, itakapovaana na&nbsp;Mamelodi Sundowns&nbsp;ya Afrika Kusini,&nbsp;MC Alger&nbsp;ya Algeria, na&nbsp;FC Saint-\u00c9loi Lupopo&nbsp;kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha , timu ya APR FC iliibwaga \u00a0Rayon sports mabao 3-0 katika \u00a0mchuano wa \u2018\u2019 Dabi ya Milima elfu moja\u2019\u2019 kwenye ligi kuu ya soka iliyopigwa kwenye uwanja wa Taifa wa Amahoro mwishoni mwa juma. Kocha mkuu wa Rayon Haruna Ferouz baada ya mechi hiyo\u00a0 amefanya mazungumzo \u00a0na waandishi wa habari amesema kwamba magoli matatu kwenye derby ni mengi.Amebaini kuwa upungufu kwa timu yake ulikuwa katikati kwa wachezaji wa kiungo.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"1024\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/11\/APR-VS-RS-2.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5517\" style=\"width:1055px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/11\/APR-VS-RS-2.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/11\/APR-VS-RS-2-300x300.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/11\/APR-VS-RS-2-150x150.jpg 150w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/11\/APR-VS-RS-2-768x768.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>                                                                         Mchezaji wa kiungo mshambuliaji  Abed akitafuta mbinu za kuwaponyoka viungo wa  APR<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa jumla timu ya jeshi la Polisi inaongoza kenye jedrwari la&nbsp; ligi &nbsp;katika mzunguko wa saba &nbsp;na alama 17, ikifuata Rayon sports na alama &nbsp;12.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Na Christopher Karenzi Dunia ya soka mashariki mwa Afrika inashuhudia sura mpya katika Ligi kuu ya Rwanda (Rwanda Premier League<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":5520,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[9],"tags":[],"class_list":["post-5515","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imikino"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5515","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5515"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5515\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5518,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5515\/revisions\/5518"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5520"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5515"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5515"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5515"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}