{"id":5002,"date":"2025-08-11T14:38:45","date_gmt":"2025-08-11T14:38:45","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=5002"},"modified":"2025-08-11T14:38:46","modified_gmt":"2025-08-11T14:38:46","slug":"apr-yajikuta-kwenye-droo-na-mabingwa-wa-afrika-pyramids","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2025\/08\/11\/apr-yajikuta-kwenye-droo-na-mabingwa-wa-afrika-pyramids\/","title":{"rendered":"APR yajikuta kwenye droo na mabingwa wa Afrika Pyramids"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>APR FC imepangwa kucheza na Pyramids FC kutoka Misri katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF, huku Rayon Sports ikipangwa na Singida Black Stars kutoka Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Timu hizi zitakazowakilisha Rwanda kwenye mashindano yote ya Afrika zitanzia hatua ya awali, ambapo APR FC itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF na kukutana na Pyramids ya Misri katika michezo itakayofanyika kati ya Septemba 19\u201321, 2025, huku mchezo wa marudiano ukitarajiwa wiki moja baadaye.<\/p>\n\n\n\n<p>Licha ya kuwa Pyramids ndiyo mshindi mtetezi, hii ni mara ya tatu mfululizo timu hizi kukutana, lakini safari hii ni katika hatua ya kwanza ya awali.<\/p>\n\n\n\n<p>Baadhi ya mashabiki wa APR wanahofia kukutana kwa mara nyingine tena na timu hiyo.<\/p>\n\n\n\n<p>APR FC wametolewa mara mbili mfululizo na Pyramids FC katika hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika msimu uliopita, timu hiyo kutoka Misri iliiondoa mabingwa wa Rwanda katika raundi ya pili &nbsp;kwa jumla ya magoli 4-2 za APR na hatimaye ikaibuka mabingwa wa mashindano hayo kwa mara ya kwanza katika historia yao.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Mwenyekiti wa Heshima wa APR FC, Jenerali Mubarakh Muganga, akiongea na vyombo vya habari amesema timu ya APR inaweza kuwaondoa Pyramids FC katika Ligi ya Mabingwa Afrika<\/strong><em><\/em><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-large is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"597\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/Afande-ok-1024x597.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5004\" style=\"width:1055px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/Afande-ok-1024x597.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/Afande-ok-300x175.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/Afande-ok-768x448.jpg 768w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/Afande-ok.jpg 1200w\" sizes=\"auto, (max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>                                                                                                     Gen. Mubarkah Muganga<\/p>\n\n\n\n<p>Hata hivyo, Jenerali Muganga amesema kuwa hana shaka kuwa safari hii Wamisri hao wataondolewa. Muganga anakiri kuwa haikuwa droo nzuri kwa APR, lakini pia ameonya kuwa matokeo yanaweza kuwa tofauti safari hii.<em>&#8220;Hii si droo mbaya pia, na nataka niwaambie kuwa timu yetu inaweza kuwaondoa Pyramids FC. Hivyo basi, mashabiki wa APR FC, msivunjike moyo<\/em>,&#8221; alisema.Hayo yakijili\u00a0 nchini Rwanda, timu ya Rayon sports itaipokea Yanga SC katika kilele cha siku kuu maarufu \u2018\u2019 Rayon day\u2019\u2019 mechi ambayo itapigwa katika uwanja wa Taifa wa Amahoro, jijini Kigali. \u00a0Rayon ni mwakilishi wa Kombe la shirikisho \u00a0la ligi barani Afrika CAF Confederation Cup. Mashabiki wengi wa Yanga kutoka nchini Tanzania wanaanza safari yao kuanza jumatano wiki hii kuja Kigali kujionea mtanange huo wa mwende mkaone.Kwa upande mwingine Mabingwa watetezi wa \u00a0ligi \u00a0kuu ya \u00a0Rwanda APR imeandaa shindano la mechi za kujipima nguvu, \u00a0litazozileta kwa pamoja \u00a0mabingwa wa ligi ya Zambia Power Dynamos, Polisi ya Rwanda na AS Kigali.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"976\" height=\"548\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/APR-pyramids-ok.webp\" alt=\"\" class=\"wp-image-5007\" style=\"width:1055px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/APR-pyramids-ok.webp 976w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/APR-pyramids-ok-300x168.webp 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/APR-pyramids-ok-768x431.webp 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 976px) 100vw, 976px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Timu itakayoshinda itakutana na mshindi kati ya Rema Stars ya Nigeria na US Zilimadjou kutoka Visiwa vya Comoros.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu ya Jeshi imekuwa ikijijenga kwa nguvu chini ya kocha Abderrahim Talib aliyemrithi Mserbia Darko Novi\u0107. Kikosi hakijabadilika sana ila kimeongeza wachezaji wapya akiwemo Memel Dao, William Tangui, Ronald Ssekiganda na wengine.<\/p>\n\n\n\n<p>Mashabiki wa Rayon hata hivo wamemeeleza kuwa mpinzani wao APR haitoweza kupiga hatua ya kipimo cha hatua ya Makundi kwenye michuano ya Kombe la Afrika kufuatia kukutana &nbsp;mapema na&nbsp; Mabingwa watetezi Pyramids.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"667\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/apr-mashabiki-rayon.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-5005\" style=\"width:1051px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/apr-mashabiki-rayon.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/apr-mashabiki-rayon-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2025\/08\/apr-mashabiki-rayon-768x512.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Mbali na michezo ya kirafiki iliyochezwa hivi karibuni, APR FC inajiandaa kwa mchezo mkubwa dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia utakaochezwa Agosti 17, 2025.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Rayon Sports yajikuta Tanzania<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Timu nyingine inayowavutia mashabiki wa Rwanda ni Rayon Sports ambayo imerejea kuwakilisha nchi kwenye Kombe la Shirikisho la CAF baada ya miaka miwili.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu hii inaendelea na michezo ya kirafiki katika kilele cha \u201cRayon Week.\u201d Mshindi wa mechi hii atakutana na Al Ahly (Misri), mabingwa mara nyingi wa CAF Champions League!<\/p>\n\n\n\n<p>Katika hatua ya awali, Gikundiro itakutana na Singida Black Stars iliyomaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania katika michezo iliyopangwa kati ya Septemba 19\u201321, 2025, huku mchezo wa marudiano ukipangwa kati ya Septemba 26\u201328, 2025.<\/p>\n\n\n\n<p>Timu itakayoshinda itakutana na mshindi kati ya Flambeau du Centre ya Burundi na timu kutoka Libya ambayo haijajulikana kwa kuwa ligi yao bado haijamalizika.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa ajili ya maandalizi mazuri ya michuano hii, Rayon imejijenga kwa kuongeza wachezaji wengi kama Bigirimana Abedi, Chadrack Bingi Bello, Emery Bayisenge, Musore Prince na wengine. Mnamo Agosti 15, 2025, Rayon Sports itakutana na Yanga SC ya Tanzania katika mchezo utakaoambatana na Siku ya Gikundiro kwenye Uwanja wa Amahoro.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Christopher Karenzi<\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>APR FC imepangwa kucheza na Pyramids FC kutoka Misri katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF,<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":5003,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[9],"tags":[],"class_list":["post-5002","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imikino"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5002","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5002"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5002\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5009,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5002\/revisions\/5009"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5003"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5002"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5002"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5002"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}