{"id":3347,"date":"2023-05-04T11:22:17","date_gmt":"2023-05-04T11:22:17","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=3347"},"modified":"2023-05-04T11:22:19","modified_gmt":"2023-05-04T11:22:19","slug":"maporomoko-ya-udongo-na-mafuriko-yasababisha-maafa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2023\/05\/04\/maporomoko-ya-udongo-na-mafuriko-yasababisha-maafa\/","title":{"rendered":"Maporomoko ya udongo na mafuriko yasababisha maafa"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Watu zaidi ya 127&nbsp; wamepoteza maisha nchini Rwanda, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo, Magharibi na Kaskazini mwa nchi hiyo.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Maeneo ya Magharibi hasa&nbsp;Rutsiro,&nbsp;ndiyo yaliyoathiriwa zaidi, wakati huu kukiwa na wasiwasi kuwa huenda idadi ya maafa ikaongezeka baada ya baadhi ya watu kutoweka.<\/p>\n\n\n\n<p>Haya yanajiri wakati huu pia serikali ya Rwanda ikisema kuwa juhudi za kuwatafuta watu waliopotea na pia kuwaokoa walio hai zinaendelea baada ya kutokea mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo, Magharibi na Kaskazini mwa nchi hiyo ambapo watu mia moja ishirini na saba kupoteza.<\/p>\n\n\n\n<p>Mamlaka katika maeneo husika zinasema kuwa huenda idadi ya waliofariki ikiongezeka kutokana maporomoko ya udongo yanyotokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/rda.webp\" alt=\"\" class=\"wp-image-3349\" width=\"1033\" height=\"582\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/rda.webp 719w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/rda-300x169.webp 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 1033px) 100vw, 1033px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p>Hali hii inakuja wakati huu pia shirika la utabiri wa hali ya hewa nchini humo likionya kuwa mzua kubwa inatarajiwa kuendelea kushuhudiwa mwezi huu wa Mei.<\/p>\n\n\n\n<p>Mamlaka katika maeneo husika zinasema kuwa huenda idadi ya waliofariki ikiongezeka kutokana maporomoko ya udongo yanyotokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.<\/p>\n\n\n\n<p>Shirika la habari la Rwanda RBA, linasema kuwa watu 109 wamethibitishwa kufariki , 95 kati yao wakiwa ni raia wa eneo la Magharibi&nbsp; wakati wengine 14 wakitokea Katika mkoa wa kaskazini mwa taifa hilo<\/p>\n\n\n\n<p>Hali kama hii pia inashuhudiwa katika nchi jirani ya Uganda, ambapo watu sita wamepoteza maisha katika Wilaya ya Kisoro baada ya kusombwa na maji ya mafuriko kwa mujibu wa Shirika la msalaba mwekundu<\/p>\n\n\n\n<p>Watalaam wa hali ya hewa wanatabiri kuwa&nbsp; mvua kubwa itaendelea kunyesha nchini Rwanda mwezi huu wa tano.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Source RFI<\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Watu zaidi ya 127&nbsp; wamepoteza maisha nchini Rwanda, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo,<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":3348,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[12],"tags":[],"class_list":["post-3347","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imibereho-myiza"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3347","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3347"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3347\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3350,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3347\/revisions\/3350"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/3348"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3347"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3347"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3347"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}