{"id":3008,"date":"2023-02-24T18:28:40","date_gmt":"2023-02-24T18:28:40","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=3008"},"modified":"2023-02-24T18:48:59","modified_gmt":"2023-02-24T18:48:59","slug":"maaskari-zaidi-ya-500-wa-zamani-wapewa-vifaa-vya-kuwasaidia-kujikimu-na-maisha","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2023\/02\/24\/maaskari-zaidi-ya-500-wa-zamani-wapewa-vifaa-vya-kuwasaidia-kujikimu-na-maisha\/","title":{"rendered":"Maaskari zaidi ya 500 waliostaafu wapewa vifaa vya kuwasaidia kujikimu namaisha"},"content":{"rendered":"\n<p>Katika kituo cha Mutobo maaskari  546  kutoka makundi  mbali mbali ikiwa ni pamoja na  FDLR,\u00a0 tarehe\u00a0 23.02.2023, walipokea vifaa vya kuwasaidia kukidhi\u00a0 maisha huku Rwanda ikiendelea kuwapokea wapiganaji  waliostaafu kutoka Jamhuri ya kidemokraia ya Kongo na kuwarejesha katika maisha ya kawaida.<\/p>\n\n\n\n<p>Zoezi hili lilifanyika&nbsp; katika Kituo&nbsp; cha Mutobo wilayani Musanze  mkoani Kaskazini mwa Rwanda ambako hutolewa mafunzo ya uzalendo kabla ya kuwarejesha katika maisha ya kawaida  vijijini.<\/p>\n\n\n\n<p>Maaskari&nbsp;hao  wanasema kwamba wamekaa miaka mingi huko wakihofia kwamba wanaporejea &nbsp;nchini Rwanda wanaweza kuuwawa. Baada ya kuwasili na kupokewa walishangaa sana, wanatolea wito kwaa wenao waliobaki nje kurejea kwa hiari yao.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-3.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-3010\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-3.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-3-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-3-768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\">Viongozi wazindua shule ya ufundi Mutobo<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p>Straton Musoni alikuwa makamu wa kwanza wa kundi la wanamgambo FDLR, &nbsp;alikwenda Ujerumani mwaka 1985. Amesema kwamba tangu walipoanza kukamatwa kwa &nbsp;wanasiasa wa FDLR akiwa Ujerumani, alianza kujutia na kujisikia kuwa si mwanasiasa &nbsp;tena.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<p>Amesema &nbsp;\u2018\u2019<em>Mimi ni miongoni mwa waliofungwa tulikuwa watatu ikiwa ni pamoja na aliyekuwa&nbsp; Mwenyekiti wakati huo Dr. Ignace Murwanashyaka.&nbsp; Tangu wakati huo sikujihisi kuwa mwanasiasa tena. Tuliwekwa gerezani, nilifungwa miaka 6&nbsp; nchini Ujerumani, baadae nilitoka gerezani lakini mwenzangu Dr Murwanashyaka&nbsp; alipoteza maisha ndani ya gereza\u2019\u2019.<\/em><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Anne-marie-ok.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-3011\" width=\"1031\" height=\"1281\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Anne-marie-ok.jpg 447w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/Anne-marie-ok-241x300.jpg 241w\" sizes=\"auto, (max-width: 1031px) 100vw, 1031px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\">1<sup>st<\/sup>&nbsp;Sergent&nbsp; Uwiduhaye Marie Chantal<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p>1<sup>st<\/sup>&nbsp;Sergent&nbsp; Uwiduhaye marie Chantal maarufu Nizane Anne marie, &nbsp;alikamatwa na M 23 mwezi Novemba&nbsp; mwaka 2022 na kuletwa  mpakani mwa DRC na kuletwa moja kwa moja Rwanda, amesema \u2018\u2019<strong><em>Sikujileta, nilikamatwa na M 23 kutokana na vita iliyokuwa eneo la Rutshuro, Tongo-Nyamuragir , FDLR wapo licha ya kuwa ni wachache lakini wapo. Mapambano yanaendelea sijui idadi yao niliyoiacha kama bado ipo. Sina imani kama wote bado wapo\u2019\u2019.<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Hayo yakiarifiwaKanali mstaafu wa kundi la FDLR Joseph Gatabazi ameeleza alivokamatwa huko mashariki mwa DRC na hapa namnukuu:<\/p>\n\n\n\n<p><strong><em>\u2018\u2019Nilivuka kuelekea Congo mwaka 1994, niliisha hapo takriban miaka 28 halafu nilianza kazi katika kundi la FDLR halafu CNRD. Mwaka 2019 FRDC walizingira katika mbuga ya taifa ya wanyama ya Kauzi Byega, halafu walitukamata wakatuleta Rwanda, lakini tulikuwa na woga sana tukifiriki kuwa watatuuwa\u2019\u2019.<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Aidha akiongea na vyombo vya habari amewaasa waliobaki katika misitu ya Kongo Kurejea nchini Rwanda ili wajenge nchi yao kuliko kuhangaika huko.<\/p>\n\n\n\n<p>Katika kituo cha Mutobo, hutolewa mafunzo ya uzalendo kabla ya kuwarejesha katika maisha ya kawaida nyumbani kwao. Baadhi yao wamerejea nchini si kwa hiari yao bali walikamatwa vitani.<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/mutobo-photo-abdemob.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-3014\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/mutobo-photo-abdemob.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/mutobo-photo-abdemob-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/mutobo-photo-abdemob-768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\">Wapewa vifaa vya kuwasaidia kujiendeleza<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<p>Nyirahabineza&nbsp; Valerie ni Mwenyekiti wa tume ya taifa  ya kuwaaga na kurejesha katika maisha ya kawaida  waliokuwa maaskari wa RDRC, &nbsp;ametoa hamasa ili warejee kujenga nchi yao kutoka misitu ya Kongo. Amesema <strong><em>\u2018\u2019Wanaorejea ni mchanganyiko, wanaorejea kutokana na vita&nbsp; huko jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, ni wale wanaokuja wakijificha jificha. Mafundisho tunayotoa hapa kwakweli ni kuwaambia watulie, mmefika kwenu, tunawaomba watusaidie kuita wenzao waliobaki wao pia warudi nchini kwasababu serikali yajiandaa kuwapokea kwa mikono miwili\u2019\u2019.<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Waliorejea wote&nbsp; kwa jumla walikuwa katika makundi mbali mbali ya wapiganaji wakiwemo wale  wa FDLR.<\/p>\n\n\n\n<p>Wamepewa vifaa vitakavyowasaidia kujiendeleza,&nbsp; hupewa semina ya miezi sita. Wameelimishwa &nbsp;mengi ikiwa ni pamoja na historia ya nchi, utamaduni, jinsi ya kubuni miradi, mafunzo ya uzalendo.Zoezi hilo liliongozwa na mgeni wa heshima katibu wa serikali katika wizara ya elimu anayehusika na masula ya teknolojia, shule za ufundi Irere Claudette, Kamanda wa majeshi ya nchi kavu Luteni Gen Mubaraka Muganga, ngazi za polisi na kiraia pamoja mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Rwanda akiwemo Balozi wa&nbsp; Israel Ron Adams.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuanzia mwaka 2001 zaidi ya maaskari wa zamani &nbsp;70,000&nbsp; wamerejeshwa katika maisha ya kawaida &nbsp;kutoka katika makundi &nbsp;ya Ex&nbsp;FAR ,&nbsp;Ex RDF&nbsp;na Ex RPA.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUSONI-Straton-ok.jpeg\" alt=\"\" class=\"wp-image-3012\" width=\"1031\" height=\"1069\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUSONI-Straton-ok.jpeg 751w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUSONI-Straton-ok-289x300.jpeg 289w\" sizes=\"auto, (max-width: 1031px) 100vw, 1031px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\">Musoni Straton aliyekuwa makamu wa kwanza wa FDLR<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1000\" height=\"666\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-5-viongozi-.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-3013\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-5-viongozi-.jpg 1000w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-5-viongozi--300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2023\/02\/MUTOBO-PHOTO-5-viongozi--768x511.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1000px) 100vw, 1000px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\">Viongozi waliohudhuria zoezi la kutoa vifaa kwa maakari wa zamani wa FDLR<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<p><strong>Christopher Karenzi <\/strong><\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Katika kituo cha Mutobo maaskari 546 kutoka makundi mbali mbali ikiwa ni pamoja na FDLR,\u00a0 tarehe\u00a0 23.02.2023, walipokea vifaa vya<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":3009,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[12],"tags":[],"class_list":["post-3008","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-imibereho-myiza"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3008","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3008"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3008\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3022,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3008\/revisions\/3022"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/3009"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3008"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3008"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3008"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}