{"id":2548,"date":"2022-09-20T16:29:57","date_gmt":"2022-09-20T16:29:57","guid":{"rendered":"https:\/\/brightafrica.rw\/?p=2548"},"modified":"2022-09-21T13:04:48","modified_gmt":"2022-09-21T13:04:48","slug":"dr-vincent-duclert-utafiti-juu-ya-mauaji-ya-kimbari-dhidi-ya-watutsi-mwaka-1994-utaendelea","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/2022\/09\/20\/dr-vincent-duclert-utafiti-juu-ya-mauaji-ya-kimbari-dhidi-ya-watutsi-mwaka-1994-utaendelea\/","title":{"rendered":"Dr.Vincent Duclert: Utafiti juu ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994 utaendelea"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>Kongamano la&nbsp;&nbsp;kimataifa la siku 9 lililokuwa likifanyika&nbsp;&nbsp;nchini Rwanda kuhusu utafiti wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya watutsi, umetamatika jumatatu tarehe 19 Septemba 2022. Washiriki &nbsp;wa Kongamano hili wameazimia kuendelea kufanya utafiti juu ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>Miongoni mwa walioshiriki kwenye kongamano hilo la siku tisa ni Mwanahistoria kutoka nchini Ufaransa Dr.&nbsp;Vincent Duclert, aliyeongoza uchunguzi kubaini ushiriki wa Ufaransa, kuhusu mauaji hayo, yaliyosababisha vifo vya watu Milioni moja, kwa kipindi cha miezi mitatu.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p>Kongamano hilo&nbsp;&nbsp;liliandaliwa na Tume ya&nbsp;&nbsp;Duclert&nbsp;&nbsp;kwa ushirikiano na Wizara ya Umoja na maridhiano ya Rwanda, Chuo kikuu cha Rwanda tawi la Huye&nbsp;&nbsp;kusini mwa nchi&nbsp;&nbsp;&nbsp;pamoja na mashirika mbali mbali ikiwa ni pamoja na jumuiya ya manusura&nbsp;&nbsp;wa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda IBUKA.<\/p>\n\n\n\n<p>Na hapa namkuuu \u2018<em>\u2019Tumeazimia &nbsp;kuendelea na utafiti, ripoti ya tume yangu ni ripoti ya utafiti na kwa hivo hatukuweka bidii ya kufanya utafiti kuhusu nafasi ya Ufaransa, kwasababu nafasi yake inajulikana.&nbsp; Tumejikita juu ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda\u2019\u2019.<\/em><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"683\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-02.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2550\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-02.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-02-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-02-768x512.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><figcaption>Mwanahistoria Dr.Vincent Duclert<\/figcaption><\/figure>\n\n\n\n<p>Dr, Duclert, Aliyeongoza tume ya wanahistoria iliyoundwa nchini Ufaransa kuchunguza ushiriki wa nchi hiyo kwenye mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994, amesema kwamba walifikiria Kongamano la siku 9 mjini Kigali pamoja na Kampasi ya&nbsp;&nbsp;Chuo kikuu cha Huye &nbsp;ili kujadiliana umuhimu wa&nbsp;&nbsp;suala la mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi, ilitakiwa kuhamasisha zaidi watafiti 100 kwa muda wa siku 9.<\/p>\n\n\n\n<p>Egide Nkuranga, ni mwenyekiti&nbsp; wa&nbsp; Jumuiya ya manusura&nbsp; wa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda&nbsp; IBUKA amesema kwamba kuna mambo&nbsp; mengi hayajafanyiwa utafiti, wamejadiliana kuhusu&nbsp; faili za kumbukumbu za IBUKA ambazo ziko sehemu mbali mbali.<\/p>\n\n\n\n<p>Amebaini kuwa wazo lililojitokeza ni kwamba kuna baadhi ya watu binafsi wana&nbsp; faili zingine ambazo hazijafanyiwa utafiti. Amesema&nbsp; \u2018<em>\u2019Kuna mambo mengi &nbsp;tena mengi &nbsp;hayajafanyiwa utafiit. Kuna nyaraka &nbsp;mbali mbali&nbsp; ziko hapa na pale, &nbsp;wamekuja ofisini Ibuka &nbsp;tumewaonyesha tunayoyafanya ikiwa ni pamoja na nyaraka, pia kuna baadhi ya watu binafsi wana faili ambazo hazijafanyiwa utafiti\u2019\u2019.<\/em><\/p>\n\n\n\n<p>Hizo faili zitasaidia watafiti hao kupata habari zinazohitajika juu ya mauaji ya kimbari.<\/p>\n\n\n\n<p>Mwanasheria Tite Gatabazi &nbsp;ni mmoja wa wadau&nbsp; wa kongamano hili &nbsp;amesema kuna ujumbe wa &nbsp;rais Macron wa Ufaransa &nbsp;unaambatana na ujumbe wa &nbsp;rais Paul Kagame, inabidi eti &nbsp;ukweli wa mauaji ya kimbari &nbsp;dhidi ya watutsi ujulikane<\/p>\n\n\n\n<p><em>Inabidi hivi sasa&nbsp; tueleze ukweli wa mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini isiwe kusema mambo watu haajui<\/em><\/p>\n\n\n\n<p>Gatabazi ameongeza kuwa katika mazungumo yao, kuna mpango wa kujenga maktaba ya kimataifa &nbsp;itakayojengwa hapa Rwanda kwa ushirikiano wa Kigali na Ufaransa &nbsp;ili kutoa elimu kwa wenyeji, wageni na watafiti kuhusu&nbsp;&nbsp;mauaji hayo.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-large is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-2-1024x682.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2551\" width=\"1033\" height=\"688\" srcset=\"https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-2-1024x682.jpg 1024w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-2-300x200.jpg 300w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-2-768x512.jpg 768w, https:\/\/brightafrica.rw\/wp-content\/uploads\/2022\/09\/photo-colloque-2.jpg 1040w\" sizes=\"auto, (max-width: 1033px) 100vw, 1033px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\"><li>Dr. Bizimana Jean Damascene waziri wa Umoja katikati kutoka kulia, Antoine Anfr\u00e9 Balozi wa Ufaransa wa pili katikati kutoka Kushoto.<\/li><\/ul>\n\n\n\n<p>Karenzi Christopher<\/p>\n\n\n\n<h1 class=\"wp-block-heading\"><\/h1>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Kongamano la&nbsp;&nbsp;kimataifa la siku 9 lililokuwa likifanyika&nbsp;&nbsp;nchini Rwanda kuhusu utafiti wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya watutsi,<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":2549,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[4],"tags":[],"class_list":["post-2548","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-politiki"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2548","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2548"}],"version-history":[{"count":3,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2548\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2555,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2548\/revisions\/2555"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/2549"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2548"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2548"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/brightafrica.rw\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2548"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}